Featured, Habari, Headline »

[8 Jun 2009 | No Comment | 192 views]
Je, Hii Imetulia? Kama ‘Yes’ Au ‘No’ Kwanini?

” Mawazo hayapigwi rungu, bali hushindwa na mawazo yaliyo bora zaidi”- Jakaya Mrisho Kikwete

Featured, Habari, Headline »

[8 Jun 2009 | 4 Comments | 2,367 views]
Kalenga:Afumania Ugoni, Apofuliwa Macho

Na Francis Godwin,Iringa
MTAMBUE kijana Frank Joseph Kalenga (37) mkazi wa Mtaa wa Ngelewala Kata ya Mwangata mjini Iringa aliyepata kuwa mfanyabiashara mkubwa. Kwa sasa amegeuka omba omba katika mji wa Iringa baada ya kucharangwa mapanga usoni na kupata ulemavu macho (upofu ) wa kudumu.

Featured, Habari, Headline »

[7 Jun 2009 | No Comment | 277 views]
Acheni Uzushi,Iringa Hatuli Nyama Ya Mbwa!

Hivyo vichwa vitano vya ng’ombe kwe bucha moja ni ushahidi. Aliyekutwa anachuna ngozi ya mbwa

Featured, Habari, Headline »

[7 Jun 2009 | No Comment | 216 views]
Hii Imetulia!

Hata ‘ Vatican’ inakubalika! Kwa habari zaidi katika picha, tembelea; http://www.mjengwa.blogspot.com

Burudani, Featured »

[7 Jun 2009 | No Comment | 260 views]
UZINDUZI WA ALBAMU YA MSETO WAHAPAHAPA

Mchana wa leo kutakuwa na uzinduzi wa albamu ya mseto wahapahapa maeneo ya coco beach
Imeletwa na mdau wa http://www.kwanzajamii.com