Featured, Habari, Headline »

[10 Jun 2009 | 4 Comments | 876 views]
Subi: Utajuaje Kama Una Kisukari Mwilini?

Kutambua kisukari mwilini
Dalili za kisukari
Ukipatwa na dalili zaidi ya tatu kati ya hizi zifuatazo, ni vyema kufika hospitali kwa uchunguzi zaidi:

Featured, Habari, Headline »

[9 Jun 2009 | One Comment | 446 views]
“Odinga Alikuja Mlimani Na Makatambuga!”

Ya Miaka Kumi ya Kuanzia 1960: Msimamo Mkali wa Vijana wa Mlimani (11)
Born Again Pagan
Bado tunajenga muktadha wa matukio ya ki-mataifa, ki-ukanda (regional) na ki-taifa (Tanzania) uliozalisha msimamo mkali wa baadhi ya wanafunzi vijana wa Mlim,anai miaka ya 1960-hadi 1970.

Headline »

[9 Jun 2009 | No Comment | 209 views]
KWANZA JAMII

Gazeti lako ulipendalo lipo mtaani. Pata Nakala yako sasa

Featured, makala »

[9 Jun 2009 | 2 Comments | 396 views]
“JK anajiamini, anatoa fursa kwa wapinzani”

Profesa Joseph L. Mbele
BAADA ya makala yangu ya wiki iliyopita, kuhusu safari za Rais Kikwete nchi za Nje, ambayo imezua mjadala mkubwa, nimeamua kuongelea suala la Rais Kikwete na wapinzani.

Featured, makala »

[9 Jun 2009 | No Comment | 180 views]
Tusome alama za nyakati:

Utatu usio mtakatifu
Na Maggid Mjengwa,
NIMEPATA kuyaandika haya; kuna namna mbili kwa mtu kusafisha chumba chake; unaweza kufagia chumba, ukazoa takataka na kuzitupa. Lakini waweza pia kuzifagilia takataka chini ya jamvi.