Nimefurahi sana kusoma mada hii ( Wanaume Wana Haraka Ya Kufanya Sex). Nawapongeza sana wachangiaji wooote kwa mchango wao,kweli mambo hayo yapo,mimi nilisha wahi kuwa na boyfriend ambaye alinitoa usichana wangu,kweli yule kaka alikuwa ananiandaaa vizuri pamoja na uwoga wangu,maana