ndugu mhariri, mbona siku hizi gazeti lenu halipo updated, habari zilizopo ni za tangu tar 5 mwezi wa 8! kulikoni lakini? au lilikuwa na hati miliki za mjengwa? chonde chonde mhariri tafadhali lifanyie update haraka, wengne hatuna uwezo wa kulipata mtaani.
# 20 September 2009 at 12:37 pm
Paul said:
VYOMBO VYA HABARI VIACHE UBINAFSI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Nimesoma habari kuhusu kuhojiwa kwa wafanyakazi na kusema wapo tayari kumpigia kura za Urais Kikwete. Kwanza ni wazi kabisa kuwa habari hiyo imepikwa/imetungwa na Mhariri kwa manufaa yake binafsi. Ndugu yangu, hayo unayoyafanya ni sumu kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo. Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana, Kutoka kwa Mtu asiye endekeza urafiki na unafiki. JK si mtu wa aina hiyo. Leo anasema “SISI TUNACHUKIA RUSHWA”. Sisi akina nani wakati Mama Sita yupo nje, Lowasa hakuna hatua, Mramba anashikilia jimbo pamoja na kuwa na kesi…Nchi inakwenda wapi?.
Mfumuko wa bei unatisha, posho za wabunge ni ufisadi uliojengewa sheria ili isionekane kuwa ni ufisadi. Kama Waziri mkuu wa ingereza ameshusha mishahara ya Mawaziri na wabunge hata sisi tungeweza fanya hivyo. Tunaweza kushusha mishahara ya wabunge kwa asilimia 50% na hakuna Mbunge atakaye sema anaacha ubunge eti mshahara mdogo.
Tafadhari tusipotoshe WATANZANIA kwa manufaa yetu binafsi.
# 26 August 2010 at 6:13 am
Paul said:
UUZAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI
Ndugu Mhariri,
Nyumba za serikali karibu zote zimeuzwa. Mikoani hata, nyumba zilizokuwa zinazunguka Ikulu ndogo ambazo walikuwa wakiishi RPC pia zimeuzwa. Hivi sasa RPC anakaa mbali sana na ikulu ndogo wakati siku za nyuma RPC alikuwa karibu sana na (RC)Ikulu ndogo. Dar es salaam hali ni hiyo hiyo, leo Waziri mteule awe ana nyumba Dar au laa, anastahili kupangiwa nyumba na Serikali. Wakati Serikali inapotafuta nyumba, Waziri mteule na familia yake wanakuwa wakiishi katika hoteli yenye hadhi ya nyota 3 na kuendelea mwa gharama za Serikali. Hii ni gharama kubwa ambayo inatokana na uuzaji wa nyumba za serikali kwa vigogo. MKAPA, MKAPA bora nyumba hizo ungeuza, wewe uligawa. Nani leo hii anyeweza sema bayana sababu za kuuza nyumba za Serikali kwa MA RAS, DC, WAZIRI, WAKUU WA MAJESHI? kama si ubinafsi????. Nyumba ni moja ya mitaji Nchi zilizoendea, sisi hata zile chache tumeacha vigogo wagawane kisa….Ameitumikia Serikali kwa muda mrefu.. mpe fedha akajenge yake Kijijini. TUMEBWETEKA NA PROPAGANDA ZA AMANI YA UOGA. TUAMKE, TUBADILIKE, TUACHANE NA VYAMA VYA SIASA, NI WAKATI WA KUCHAGUA MTU NA SIO CHAMA.

Weka maoni yako hapa!
Maoni mapya
Zinatembelewa zaidi
Makala mpya
Habari zaidi
Burudani