Home » Katuni & Picha

Katuni & Picha

Hii ni nyumba nesi wa Zahanati ya kijiji cha Saja katika wilaya ya Njombe

Picha ya mama huyu ni ishara kwa sekta ya maji nchini kuongeza juhudi ili kumkomboa mwanamke na shughuli ngumu kama hii. Ndoo kichwani, Mtoto mgongoni na kidumu mkononi, wapi anakwenda sifahamu? labda atatembea kilomita tano zaidi ama chini ya hapo.!

Comments are closed.