Home » Featured, Habari, Headline

Wanaume Wana Haraka Ya Kufanya Sex

15 June 2009 6,098 views 45 Comments

ZAIDI ya nusu ya wanawake walioulizwa wameonyesha kutoridhishwa na tabia ya wapenzi wao kupuuzia umuhimu wa kuchezeana kimwili kabla ya kufanya-sex. Hii ni kwa mujibu wa dondoo za utafiti uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Gothenburg cha nchini Sweden

Inaelezwa, kuwa hata kama mwanamme na mwanamke wataanza pamoja harakati za kuamsha hisia za kufanya tendo la ngono lakini bado kiujumla mwanamme ndiye atakuwa wa kwanza kutaka kuingia hatua ya kufanya ngono.

45 Comments »

  • manka said:

    mara nyingi huwa hawajali hisia za wapenzi wao hasa wakishapatwa na hamu.nafikiri ktk mapenzi uwazi ni kitu muhimu.mweleze nn anakosea na nn unataka.nashukuru nimepata mpenzi anayejali hisia zangu.huwa anafahamu kama nimetosheka

  • Robin said:

    UASHERATI NI UFISADI

  • Jadidi said:

    Ndugu yangu usiwe kama vile hujui uhalisia wa mambo. Jiko ls mafuta ya taa huwaka haraka na halikawii kuzimika, ila la mkaa inabidi uchochee haswa ndio liwake, na likishawaka kazi kweli kulizima. Wanawake na wanaume ni tofauti. Wewe jiulize , mwanamke katika uhai wake wote anatoa wastani wa mayai 1900 tu ambayo ndio yanaweza kurutubishwa yakazaa watoto, wakati mwanaume anaweza kuzaa watoto mamilioni. Sasa je tu tuwalaumu wanawake kwa kutokutoa mayai mengi, hapana, inabidi tuwe waelewa. Na vile vile katika kufanya mapenzi inabidi ushirikiano wa hali ya juu ili wote kuweza kufuria hiyo shughuli nyeti.

  • Dory said:

    Ni kweli wanaume wanaharaka sana ya kufanya sex.mradi yeye ameshajisikia bac hajali wewe ukoje

  • Lucie said:

    dah hiyo mada haina uongo kabisa, yani wanaume wa haraka sana. wala hufurahii kabisa hata ukimweleza kama uume wake untaka kuingia ukeni inbid aingize tu, lakin unakuwa hujapata romanzi ya kutosha.

  • K.MO said:

    Unajua suala hilo sio la kuchukulia kiurahc tu,first of all kabla ya kuanza sex lazima umpote mpenz wako au girlfriend wako mawazo ya nyumbani through romance ndio kazi ianze co unakurupuka tu!mtaachika na wapenz wapenz wenu.

  • Sarah said:

    Ni kweli wadau, wanaume wanachanganyikiwa haraka sana katika haya maswala, ya hisia.wanataka kuingia haraka haraka

  • Za usa said:

    Haya mambo tuyaacheni tu jamani, hilo suala ni gumu kidogo. Ni kweli wanaume wanaharaka ila nafikiri ni vigumu sana kwao kuvumilia cha msingi muache apige akimaliza muache avute pumzi halafu zoezi la pili ndo mtaenda sawa kwani na yeye jiko lake litakuwa la mkaa sio la mafuta tena, ila tatizo kubwa sana ni kwamba wanaume wa siku hizi hawana uwezo wa kufanya mapenzi yani nguvu za kiume kwishneee, jamani chipsi mayai, na bia zitawafukuzia wake ohooo

  • mugisha04 said:

    kweli

  • SUBIRA E.P said:

    Sio maumbile tu kwani hata kibaiolojia mwanaume ni mwepesi sana kuliko mwanamke ktk kufanya mapenzinna hii imesababisha wataalam kushauri suala zima la romance kabla ya mapenzi ili walau kumwezesha mwanamke naye aweze kufurahia tendo.Ni vizuri kwa wana ndoa au wapenzi kufahamiana juu ya uwezo wa kila mmoja wao na zile sehemu nyeti ambazo kila mmoja akigusa kwa namna yake zaweza kumsisimua haraka.Sio leo tu hata zamani wazee wetu walipewa mbinu hizo ila leo sisi vijana

  • kakena said:

    wanaume wa siku hizi nguvu zao za kiume ni dhaifu kwasababu tunakula junkie foods

  • mwajuma said:

    mm sijawahi kufikishwa kileleni toka nimeanza mapenzi mm naona maandalizi ni muhimu sana wanaume wengi hawajui kumuandaa mwanamke ukimfundisha ugomvi ulijuaje kama watu wanafanya hivo ninatoka kapa kila mara hisia zangu ziko mbali sana pili wanaume wengi hawana nguvu za kutosha akishapiga bao moja hoi unakuta hata hujasikia ninni kinachoendela keshachoka

  • mahenge said:

    Tatizo ni wanawake unakuwa umemtafuta kwa muda mrefu sasa siku ukimpata unakuwa na hamu ya kuanza ngono inakuwa kubwa ingawa pia kwa suala la vyakula pia linachangia sana kufika haraka na kukosa hamu ya kurudia tendo

  • Joseph Le Mbele said:

    Ndugu Mahenge, napenda kugusia kidogo hili suala uliloelezea, la kumtafuta mwanamke kwa muda mrefu. Hii nadhani inakubalika katika utamaduni wetu. Tahadhari ni kwamba huku Marekani, mwanamke akisema hakutaki, ni mwisho wa maneno. Ukiendelea kumfuatafuata unahesabiwa kuwa ni mnyanyasaji. Unaweza kuchukuliwa hatua kisheria, ukabaki unashangaa kosa lako nini wakati wewe ulikuwa unatongoza tu. Ndio tofauti kati ya tamaduni. Wanawake wa kiMarekani wanapokuwa kwetu Tanzania wanakerwa sana na huu utongozaji wa kwetu. Na katika kuwaandaa kabla hawajafika huko, huwa ni muhimu kuwaambia hali halisi ya kwetu.

  • isack Elias said:

    ni kweli mwanaume anahamu kubwa ya kuingia na kisha kutuliza kiua yake bila ya mwenzake. Nashauri wasome vitabu au majarida yanayotoa elimu juu ya kufanya mapenzi. wakishapata elimu hiyo na kuzingatia, utashangaa mwanamke anafika kileleni kabla ya mwanaume; siyo muujiza ni elimu tu;

  • jackson said:

    unajua ni kweli kabisa ,unajua kichwa kidogo kikikasirika kikubwa hakifanyi kazi.kitu kinge wanatulauumu tu bure,sasa kama mwanamke amekeketwa hiyo inaakuwa ngumu kidogo kumrisha

  • Sindbad said:

    Hahahahahhahahahah

    Sio wanaume wote lakini unajua tena kila mtu na hisia zake na ufundi wake na pia inategemea lini mara ya mwisho huyo mwanamme alikutana na mpenzi wake. Kifupi inategemea kwani kuna wanawake wengine pia wanaharaka sana. mimi naona ni kua ni jinsi mtu anavyojua utamu wa kucheza cheza kwanza kabla ya tendo la ndoa.

  • Zipukindwe said:

    Ni upya tu ,baada ya masiku ya mwanzo kupita inakuwa mbinde,kwani siku ya mwanzo ukiona shingo tu mchezo kwisha.lakimi kila siku ziendavyo ndio gemu inapozidisha wakati na mida mwingine inakuwa ni zamu ya madada kutoka mkuku,hapo baada ya kupita miezi .au uongo

  • torry's said:

    Mm nimefundishwa mapenzi na mwanamke kama miaka 10imepita sasa ni mtaalam kwa mambo haya,nikiwa ktk mchezo huu ukweli binti anapata 4/3 kwa 1. kwa upande wa wanaume ili uweze kumteka mpezi wako ktk hii fani tafadhali sana kua msikivu kwa upande wake wapi anataka umguse/nini anataka ushike au kuwa mdadisi sehemu gani nikuguse ili usike kama uko duniani? upande wa wanawake nisawa kina kaka wengine sio wasikivu wa hisia za wezao au anakua mkali basi unapotoa maelekezo mwambie kitu kimoja baada ya kingine kutekelezwa.

  • sambilikungu said:

    ni kweli ili mwanamke aridhike inabd aende 4/3 kwa mwanaume ni moja,kama mwanamme na mwanamke wote wanavutiana kimapenzi wote watafikiria kuwahi tendo,lakini inashauriwa kumtayarisha mwanamke ikiwezekana cha kwanza atoe wakati wa romance au mwenyewe akupeleke kunako,pombe kama valueur au konyagi zinasaidia kama mwanamke anachelewa ingawa ukishamaliza ndo nitolee,inashauriwa ni bora mwanaume uwe unamuuliza mwenzio kama kafikia kileleni na karidhika,the wewe ndo utafute bao la kumuaga mwezio

  • Loveness said:

    mh! yani nimesoma maoni yote mengine yana furahisha na mengine ndo hivyo yanajitaidi kufafanua jinsi mambo yanavyo kwenda lakini kiukweli ukiangalia swala zima la mapenzi ni kutayarishana na kama post inavyo sema kuwa wanaume huwa wana haraka sansa ktk kuanza ni kweli lakini ni kwa baadhi yao na si kwa wote kwani hata mara nyingine wanawake pia huwa wana haraka ya kuanza, na kama hapo juu kuna mtu kasema unapashwa kumuuliza mwenzako kam ayuko tayari au la! kama hayuko tayari atasema tu akiamua kudanganya tayari citakuwa imekula kwake hiyo maana mwanaume akisikia umesema tayari yeye anakanyaga mafuta tu break kari likiisha mafuta ndo anahema sasa ni hayo tu.

  • emmanuel mwakasala said:

    mbona uwo mchezo mwepesi ni kucheza na movie kama low speed basi na wewe hivyo hivyo akipandisha gia na wewe unapandisha akiitafu slope na wewe vile vile na basi akianza kushusha mzigo na wew ndo unaanza taratibu kufungua milango ya lori ili ushushe mzigo kama utaona anamalizia kushusha cargo na wewe unamalizia kushusha na hapo utaona anabaki kwenye uwanja si chini ya dk 20 ili akwambie kama ilikuwa tamu

  • sefu said:

    sio ishu, cha msingi wote mridhike . vipi mridhike MTAJIJUA WENYEWE KITANDANI

  • poa said:

    ishu ni wote mlizike kuwa na papara ni kawaida

  • Jackson said:

    Msitunyanyapalie sisi wanaume hatuna kosa. Mimi nina mwenzangu lakini wapi, namchezesha yeye ananiambia tayari, nikikanyaga mafuta nashangaaa ananiambia yeye tayari wakati mimi bado kabisa. Nikiendelea analalamika namuumiza sasa najikaza tuu kwani sina namna nami nataka kufika stendi ndo nishike breki. Hajui utundu wala nini, nisipomfundisha kitu wala yeye hahangaiki, anachojua tuu ni ……

  • samson jeremiah said:

    Nikwli kabisa wanaume ndiyo huwa wakwanza kutaka hii nikutokana na nature ya maumbile ya mwanaume ndiyo maana hata kutongoza huwa anaanza mwanamme mwanamke ni vigumu sana kupata hisia za kujamiiana mpaka umchokoze sanasana lakini mwanaume nimwepesi sana akiona sehemu kidogo ya maumbile ya mwili wa mwanamke mwili wake husisimka hapohapo
    Busara sasa mwanaume lazima atambue hisia za mwanamke kwamba ziko mbali zinahitaji kuchokozwa kwa muda mrefu ndipo ziamke na kwenda pamoja na mwanamme.

  • muyugwe said:

    Mwajuma, pole kama haujafika kileleni. Inabidi unione kwa muda wako ili uweze kufika. Nina hakika utafurahia. Shaka ondoa.

  • kamori said:

    romence ni kitu cha msingi sana katika mapenzi kati mke na mme hivoyo ukitaka afike mapema ni lazima ushuke chumvini

  • Moses Gasana said:

    Fikra zangu ni kuwa yawepo mawasiliano mazuri sana kati ya wapenzi.Mwanaume ajue umuhimu wa kumwandaa mwanamke vyema na kwa upendo.Maandalizi yawe ya pande nyingi.Mazungumzo yenu, usafi wa nguo, mwili na chumba kiwe murua sexy appeal.Wakati wa mavituuz mwanamme aoneshe utulivu na ajali hisia za ‘mtoto” wake.Pia mwanamke asione aibu kumuongoza mwanamme ili wafurahi pamoja.Mwanamme mwenye upendo atafurahia sana ikiwa mwanamke wake atakuwa radhi kujifunua hisia zake, japo ni rahisi kujua bila hata ya kuongea kwa maneno ikiwa nia ipo.
    Otherwise watu wanaopendana kwa dhati mambo huwa mswano tu, raaaahaaaa.

  • stara mwita said:

    kwa ukweli wanaume hawatuandai vizuri wanapapara sana, unakuta anakuja na minyege imeshampanda hajui kama wewe unatakiwa kuandaliwa basi pale anataka aingize uume wake bila kujali maandalizi kwangu, matokeo yake inakuwa siyo starehe tena bali balaa katika mapenzi.

  • luyagaza said:

    Kuna ukweli katika utafiti huo… Kiukweli kabisa WANAUME wana shauku kubwa kwa wanawake hususani katika suala la kufanya tendo la ndoa

  • kondoa said:

    ukweli wanawake wengi wamekeketwa hivyo hisia zao kuwa mbali mno

  • Baba Koku said:

    We Muyungwe Acha utani!
    Ishu hii ni serious,suala la kumtafuta Mwajuma pekee yake si zuri,wenye mapungufu haya ni wengi na kweli uhusiano wetu na wapenzi uanshaka.Eleza/toa elimu ni ni wanaume wafanye kuokoa jahazi.Mapenzi na matamu jamani.

  • FATAKI A.K.A MUWEZESHAJI said:

    TATIZO MSOSI + MAZOEZI, KUNFUU, KARATE, JUDO, SUPU YA PWEZA N.K NI MUHIMU SANA, HAPO LAZIMA MWANAMKE APIGE MAYOWE KWA UTAMU OTHERWISE YOTE NI UBATILI.

  • Masesa said:

    Tuacheni upuuzi huko kuuandaana ndiyo nini? watu tunapenda sana kushobokea “western life style” tendo la ndoa ni tendo takatifu, mnapoleta mambo ya usanii mnaharibu uhalisia wake ndiyo mnafikia hatua ya kulambana sehemu za siri

  • Daniel said:

    Kwa kweli hii hoja imenikuna. Ingwa nimechelewa kuchangia inanibidi tu niache mistari miwili angalau ili maoni yangu nayo iwasaidia watu wengine.
    Cha kwanza kabisa ni kusema wanaume tumekuwa wachoyo mno. Pili, kwa uchoyo huo tumenyimwa mambo mengi mazuri, Akina dada hapo nafikiri mtainiunga mkono.
    Tatu, ni vizuri mwanaume ajifunze kupunguza kasi ili aende sambamba na mpenzi wake. Na kama sio mpenzi wake basi labda huyo kahaba naye atakuwa amepata dau lake kwa haraka na mwanaume itakuwa imekula kwake.

    Cha nne na cha mwisho, haraka ya ya bao ni fikira tu. Kushikilia bao japo kwa dakikia kumi badala ya kilikimbiza kama la mwizi kwa sekunde 10 limekula kwenu enyi wenye haraka na uchoyo.

  • LUDOVICK said:

    Nimefatilia mada hii muda sasa kwani imewavuta wengi.nimewahi kuzungumzia ukatili wa wanawake wanapotangulia wao.so ni afadhali iendelee hivyo.leo naongeza dokezo moja au mawili.ktk ndoa tendo hilo hukusudiwa kuwaunganisha wanandoa kimwili,kiakili na kiroho.ktk zinaa na uasherati kama wa kwetu,muungano huu hauwezekani.hivo tofauti kufika kilele lazima ziwe hivo.na wanaume na wanawake mara nyingi wana mtazamo tofauti kuhusu kitendo hicho.mwanamke hukitoa kama tunda la upendo,mwanaume hukifanya kama ushahidi wa upendo.so tofauti lazima.pia msijifanye kutojua athari za picha za ngono.wanawake wamekuwa masochists na wanaume sadists.so tofauti zinakuwepo.mwisho kwa leo ni ufundi wa wanawake.ninaoushahidi wa kiutafiti kuwa wanawake wa kichaga wengi hawafiki kileleni ukilinganisha na wazaramo.na ninaona UFUSKA wetu ndiyo unatufanya tupate matatizo.kama mme wako hajawahi kukufikisha,umejuaje kuwa kuna kufika kama hujatoka nje ukafikishwa? Na mpenzi mpya mtamu so ucishangae wanawake kushindwa kufika na wapenzi au waume zao lakini wakakojoa hata bila romance wakiwa na mtu mpya. Ni suala la saikolojia na pituitary na haipotalamus na hormons.je nyinyi kuna anayebisha,anisahihishe hapa kwa hoja.

  • Elias said:

    Duh hii topic ya ukweli, kwa wanaume kusema wana papara mi nakataa kabisa maana hii in-work kwa wte, case ya wanaume kuwa hawawaridhishi wapenzi wao wa kike nimekutana nayo sana na before nilikuwa sijui kama pia wanawake hawaridhiki coz kila nlo-meet naye ful kuridhika na ikitokea kayakoroga misamaha hiyo hadi utaona huruma ndo baadaye nkaja kujua kuwa wanaume hawawaridhishi wengi, wanaume manapaparikia coz wengi wetu hatujui what to do from the start hadi mwisho maana kuandaa mazingira ya mwanamke aliyekuwa dismantled kimapenzi na wanaume wasiojua huko kabla ni ni kazi but its possible coz nshawahi kukutana na wanawake ambao waliapa mbele ya hadhira kuwa hakuna ambaye atawapa raha maishani baada ya kukutana na many men lakini wapi, mbona kimoja changu tu na hata nkitaka na chake kiwe kimoja yuko hoi maana nilikubali kuvumilia for atleast dakika 80 kumtengeneza na some times wengine wasioyajua mbona hata kabla sijamtumbukiza mwenzangu ana mawili tayari!!! Ubishi wenu ndo utawafanya muamini wanawake hawajatulia but ni kuwa hawajapata ril medicine coz aweza kuwa alishampata mtu akamfanya na kumleta ipasavyo then akamzingua so akakosa kama yule, utamshangaa akiwa anahaha kutafta tamu kama ile?

  • mam byakatonda said:

    tunashukuru kwa hii mada, maana inawaelimisha wale wote wanaokosea bila kujua ingawa sio wote wanaosoma mada hizi, ila watajua kupitia kwa wenzao tusione aibu kuwalekebisha , bora umufundishe akuandae au umuandae kuliko kwenda kujifunzia nje.

    Mada halisi inakuja, mimi kama mimi sijawahi kufika kileleni mmoja kauliza swali kwamba kama ujawahi kutoka nje ya ndoa ulijuaje kama kuna kufika kileleni? nazani sio kila kitu ufanye ndio ujue , unaweza kusoma mahali kama hivi tunasoma au kuadisiwa ukajua maana wewe usikii utamu wowote unaburuzwa tu. Hivi ni vitu muhimu sana ktk ndoa maana familia inatoka hapo lazima tuwe makini.

  • LUDOVICK said:

    Ni kweli tunaweza kusikia au hata kusoma kuhusu mambo mengi.lakini suala la mapenzi haliendeshwi kwa formular.kama uasherati hauachwi,mijadala haitasaidia.kwani watu wataleta maigizo kwenye ndoa.mfano mtu huyo elias anadhani dak 80 ndo kumridhisha mwanamke,kama hakuna umoja wa upendo wa akili,mwili na roho,hata ikiwa masaa 12 mfululizo,bado mtu hatafika

  • happy wa mama said:

    Nimefurahi sana kusoma mada hii,nawapongeza sana wachangiaji wooote kwa mchango wao,kweli mambo hayo yapo,mimi nilisha wahi kuwa na boyfriend ambaye alinitoa usichana wangu,kweli yule kaka alikuwa ananiandaaa vizuri pamoja na uwoga wangu,maana ndio nilikuwa mara ya kwanza lakini kuniandaa kwake kulinifanya nisisikie maumivu makali kama wasemavyo kuwa kuna maumivu wakati wakutolewa bikira,bahati mbaya tulitengana wakati wa kuendelea na elimu ya juu,mimi nikaja ulaya kimasomo nayeye akabaki.Sasa,kweli nimekutana namtu ambaye kwa kweli nampenda saana ila tatizo lake lipo kitandani,kwanza ni nadra sana mimi kumuona uume wake,hataki hata tuoge woote,anajifichaficha tuu,ila saa nyingine nalazimisha nikimuona ameingia bafuni naingia na mimi kwanguvu ila hataki anakuwa mkali,anasema eti mi napenda mambo ya kitoto,akipanda kitandani anajifunika upesi tena yupo na bukta,swala la kuandaa mwanamke hajui kabisa ,saa nyingine namwambia kabisa mimi napenda unishike hapa au unifanye ivi anakuwa mkali eti mi sikui nipo kitoto tuu sikuzote,mara ya kwanza nilidhani labda sababu hatujazoweana nikawa navumilia lakini nimejaribu kumsaidia haelekei kusaidika,hata mi nikitaka kuchezea au kushika uume wake hataki yaani tukiingia kitandani utazanai mtu na kaka yake,yaani yeye sijui anapataje hisia za sex,nakuja kustukia tuu ananipandia juu na uume wake umesha simama wakati huo mimi sipo tayari kwa tendo basi anaanza kunitumbukizia tuu,uke mkavu kabisa na baki naumia tuu,namuambia naumia jamani nipo mkavu,wala hasikii yeye anaendelea tuu,mpaka atakapo maliza,kweli nateseka sana mpaka navimba uke kama sikumbili au tatu hivi nipo nauguza uke.sioni raha ya tendo hilo kabisa.Nampenda sana,mwanzo sikuona kama ni tatizo nilijuwa ntaenda nae taratibu nikimfundisha then atanielewa ila sasa nimekata tamaa.
    Natamani sana angesoma safuu hii,ingemsaidia sana.
    Naombeni ushauri mana nimefikia hatua ya kuachana nae.maana sina raha ya tendo la ndoa.

  • kuchi said:

    si kweli au si wote, ninachofahamu suala hili halianzii chumbani, ni zaidi ya chumbani, na lazima mtayarishane kwa muda mrefu,inatakiwa kwanza maongezi ya nje ya nyumba, ktk simu kabla hamjaonana. kiasi mpaka mnakuja kukutana wote kiakili mnakua mko mwelekeo mmoja. Unaweza kumpigia simu asubuhi akiwa kazini lakini maongezi yakawa ni ya kimahaba zaid, halafu mchana pia ukaendelea na kuweka miadi ya kukutana jioni labda mkawa out for a drink or dinner, na jinsi mtakavo kutana lazima muonyeshane kuwa na hamu ya kuuonana, halafu baada yahapo maongezi yenu lazima ya kimahaba, yenye kuonyesha tamaa, hata mkiondoka na kufika chumbani wote mnakuwa katika hali ya mapenzi na kutamaniana, sasa ikiwa unakaa unamngoja aje chumbani lazima we utaona yeye anawahi , haya mambo si ya kurukia yanataka kufundishwa na kueleweka.

  • Emmy said:

    Ukweli hii mada imenikuna sana yaani nimefurahia sana mawazo ya wachangiaji. japo nimechelewa sana kupitia hii safu. wazo langu ni hili, wote wawili km wapenzi mnatakiwa kujua nini maana ya mapenzi na kwanini ukamchagua huyo uliyenaye akidhi haja yako. Tatizo watu hujifunza mapenzi kupitia porn, hii haiwezi kusaidia kwani wale wanayoyafanya kwa hakika mtu mwenye akili timamu hawezi akayatumia kwa mpenzi wake, wale wako kibiashara zaidi. Km ni hivyo basi mchukue na mwenzako(mwanume mwenzio) mkamt***be mkeo au mpenzi wako uone cha moto. Mimi nafikiri watu wamrudie Mungu na wajue kuchukuliana udhaifu taratibu hakuna mtu duiani ambaye ni stadi wa mapenzi. zaidi wapenzi wasioneane aibu lkn kwa wanawake walio wengi wana aibu kwa asili hivyo wewe mwanaume unatakiwa umwelewe mwenzi wako kitabia na omba ushauri pale unapoona amezidiwa. Nirudi kwako Happy wa mama chondechonde nakusihi usimuache mwenzi wako kwa vile hakufikishi, ninaamini tatizo liko kwako pia maana ulishalijenga akilni kuwa hakufikishi kileleni. Ninachoweza kukushauri tafuta kitabu kinachoitwa “Happy in marriage’ umpe huyo mwezi wako asome pia wewe mwenyewe uwe unaanza kujiandaa mapema na kujenga akilini mwako kuwa sasa unakwenda kukutana na mwezi wako na uuambie moyo wako kuwa sasa leo unafurahia tendo la ndoa” hakika utaona mabadiliko na utaifurahia ndoa yako!! ni hayo tu

  • cosmo said:

    wee! masesa acha ushamba, sasa hivi tuko 21st century. Tendo la ndoa ni tendo takatifu lkn lazima tulitie madoido. Romance ni muhimu, itakuwaje bwana wako akuvue nguo halafu akuparamie basi.Raha iko wapi sasa, embu kuwa mkweli,sababu mapenzi lazima yawe na formular.Hata wazazi wetu walifundishwa hivyo. Kucheza na mpenzi wako kitandani kabla ya tendo la ndoa ni muhimu.

  • Careen said:

    wanaume wengi wamekuwa wakitaka kufanya mapenzi kwa kutamani tu na wala si kupenda, kwasababu hiyo hisia anajenga hata kabla ya kukutana na mwanamke, mapenzi ya kweli ni lazima kila mtu amwandae mwenzio kabla ya tendo lenyewe

Weka maoni yako hapa!

Add your comment below, or trackback from your own site. You can also subscribe to these comments via RSS.

Be nice. Keep it clean. Stay on topic. No spam.

You can use these tags:
<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

This is a Gravatar-enabled weblog. To get your own globally-recognized-avatar, please register at Gravatar.