Taifa la Tanzania limewkumbwa na msiba mzito kwa kuondokewa na mmoja wa waadhiri wakubwa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dr Haroub Othman kilichotokea huko Unguja.Wasomi na wanaharakati wa tz kamwe hawatomsahau msomi huyu.
Pia kifo cha Kaimu Mufti wa Tz Sheikh Suleiman Gorogosi kilichotokea kwa ajali ya gari.Hakika waislamu wamepoteza kiongozi mwenye hekima na busara.
good story
Funny i was just like u…

Mungu awalaze mahala pema peponi.
Ameen.
Weka maoni yako hapa!
Maoni mapya
Zinatembelewa zaidi
Makala mpya
Habari zaidi
Burudani