Comments for

Comment on Mrisho Mpoto: Watanzania Tunakufa Kwa Roho Chafu! by Samuel
Kaka Majjid,

Sisi sisi ndio tunawachagua hawa ambao hawafanyi yale tunayotaka au tuliyowatuma kufanya.

Nadhani tatizo kubwa ni kuwa hakuna uwajibikaji, ukishamchagua, awe anatekeleza shughuli zake au la ataendelea kuishikilia hiyo nafasi kwa miaka mitano! Ifike mahali, wananchi majimboni na nchini kwa ujumla wawe wanaweza kuwawajibisha hawa watawala (viongozi ni wachache) kwa kurekebisha katiba ili mambo kama haya yawezekane.

Tatizo lingine ni kuwa wa kubadili katiba ni hao hao ambao wanaotakiwa kuwajibishwa nayo ndio wanatakiwa kusimamia.

Tunahitaji mapinduzi, ikibidi hata yenye kututoa wengine sadaka.

Ishara zimeshaonekana, chombo Tanganyika kinazama!

Comment on Waumini Wamlalamikia Askofu Jimbo La Rulenge by Sinzo
Uamuzi wa kuhamisha  makao makuu ya jimbo kwenda Ngara ni katika kuboresha huduma za kiroho na kijamii katika jimbo. Hili lilifanyika kwa kuzingatia mahitaji ya jamii husika na mikakati ya jimbo katika kuhudumia. Wewe unayesema kwamba askofu anapenda mjini, pole ni kwa kuwa hujui and you speak out of your ignorance, Ngara ni mjini??? kwa taarifa yako maaskofu wote wana majimbo mjini Roma, so kama anapenda mjini anaweza kwenda sio Ngara bali Italia akiamua and no body can point a finger on him. Hivi kwa kanisa katoliki wapi ni mjini ukizingatia this is a universal church anyhwere he could go if he wishes to. Tatizo la watu wa Mkoa wa Kagera mnapenda sana ukabila na ingetokea agekuwa amejenga Biharamulo nadhani pasingetosha. Acheni ukabila. Muwe na mtazamo mpana, Mungu awabariki

Comment on Hawa Ndio Mashujaa Waliolifikisha KwanzaJamii Kwa Wanajamii Wa Njombe! by Julius
NJOLUMA imeanza kwa kasi zaidi. hongera.

Comment on Hawa Ndio Mashujaa Waliolifikisha KwanzaJamii Kwa Wanajamii Wa Njombe! by Anonymous
NJOLUMA imeanza kwa kazi zaidi. hongera sana. charity begins at home.

Comment on Hawa Ndio Mashujaa Waliolifikisha KwanzaJamii Kwa Wanajamii Wa Njombe! by LUDOVICK
Tunakutakia mema kwani umeweka cha kwanza,kwanza. Yaani kwanza jamii

Comment on Waumini Wamlalamikia Askofu Jimbo La Rulenge by LUDOVICK
Nimefurahi kwa michango hii.nadhani aliyeanzisha mada hii amejifunza kitu.halafu hakuna mtu anapaswa kujiita anonymous.Fr Mjengwa,kuwa hierachical haimanishi kutokuwa democratic.nadhani watu wengi hawajui hata democracy yenyewe achilia mbali kanisa katoliki.

Comment on Hotuba Yangu Kwenye Uzinduzi Wa Kwanza Jamii, Njombe by LUDOVICK
Ni hotuba nzuri.ina mantiki murua.inanikumbusha wakati nikisoma rhetoric.labda uwe unamuandikia rais hotuba.

Comment on Hotuba Yangu Kwenye Uzinduzi Wa Kwanza Jamii, Njombe by Nicholas
Hongera sana .Jamani wadau,mimi napenda kuuliza kuwa hili ni jarida ama gazeti? Naomba ufafanuzi

Comment on Hotuba Yangu Kwenye Uzinduzi Wa Kwanza Jamii, Njombe by orbi
Hongera,

Nimekufahamu tu kama mwandishi, lakini sikujua pia unashungulikia na maendeleoa ya jamii mpaka nilipoanza rasmi kuwa mmojawapo nayetegemea kupata habari nikiwa nje ya Tanzania.

Nashukuru kwa mchango wako katika jamii,umenikumbusha Njombe, ambayo niiliacha miaka kama 20 hivi.

Kazi njema,

Mdau

Comment on Waumini Wamlalamikia Askofu Jimbo La Rulenge by Eddy Mshana
Kanisa lina utaratibu wake, kwa maana askofu hufanya shuguli za uchungaji kama mkuu wa jimbo kwa maagizo ya holy See Roma. Hakuna kinachoweza fanyika jimboni kama mabadiliko ya makao makuu ya kiaskofu bila ridhaa ya makao makuu ya Kanisa Vatican na bila Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kuridhia na Pronuncio (Balozi wa Papa nchini) kufanya upembuzi yakinifu juu ya manufaa yake ya kurahisisha huduma za kichungaji na kijamii katika jimbo.

Naona walioandika hili si wakatoliki, kwani walio wakatoliki wa kweli jimboni mwao wanajua kwa vile baraza la waumini jimboni wanajua na kuwahabarisha waumini kabla ya utekelezaji. KANISA KATOLIKI NI HIERARIKIA, SI KWAMBA MTU FULANI HATA AWE ASKOFU ANAYEWEZA ZUA JAMBO FUNILA BILA UTARATIBU ULIOPO KADIRI YA CANON LAW. Utekelezaji wa utendaji katika Kanisa Katoliki hufuata mtiririko wa uongozi toka Juu hadi chini kadiri ya ngazi ya uongozi hatimaye kuwafikia na kuwashirikisha waumini wake.