Home » Archive

Articles in the Jamii Category

Burudani, Featured, Habari, Headline, Jamii, Uncategorized »

[8 Jan 2010 | No Comment | 213 views]
Kuna ‘Ubia’ Wa Wavuta Bangi Na Polisi Wetu?

Na Markus Honorius
MWANAFALSAFA Socrates alikwisha kutamka. “ Watu wengi tunaishi katika dunia ya ujinga. Na tunaridhika nayo kwasababu pekee tunavyoijua.

Featured, Headline, Jamii »

[2 Jun 2009 | No Comment | 570 views]
Ugonjwa wa kisukari

Na Subi Sabato
Uzito stahili: Kila mtu anastahili kuwa na mwili wenye uzito unaoendana na umbo na uwezo wa mifupa ya mwili wake.

Featured, Headline, Jamii »

[26 May 2009 | No Comment | 673 views]
Ugonjwa wa Kisukari

Na Subi Sabato
Ikiwa wewe, mtoto, mzazi, ndugu, jamaa au rafiki amefahamishwa na daktari kuwa ana ugonjwa wa kisukari, kama ilivyo kwa masuala mengine, bila shaka yapo maswali mengi ambayo hujitokeza, kwanza hali ya kutokuamini matokeo ya uchunguzi huo na wasiwasi wa nini kitakachofuata.

Featured, Headline, Jamii »

[26 May 2009 | No Comment | 574 views]
Jinsi ya Kupata Mwenza Ukiwa Ughaibuni

Na Aunt Subira
LEO tunahitimisha mada yetu hii kwa kuangalia njia nyingine kwa watu walio mbali au ughaibuni wanaweza kutumia ndugu na jamaa kama nilivyosema katika makala zilizopita ila sasa inabidi uwe makini kweli kweli.

Featured, Habari, Jamii »

[19 May 2009 | 2 Comments | 883 views]
Jinsi ya kupata mwenza ukiwa ughaibuni

HAYA, leo hebu tuangalie jinsi unavyoweza kupata mwenza wa kuishi naye ukiwa uko ughaibuni. Njia ya kwanza ni kupitia njia ya mtandao, ndiyo eeh kwenye mtandao au internet unaingia chat room, una chat wee, mpaka iko siku kinaeleweka.

Featured, Headline, Jamii »

[12 May 2009 | No Comment | 415 views]
Malaria: Bora tufe kuliko kuathiri mazingira?

Na Markus Honorius
HABARI za ugonjwa wa Malaria siyo za leo, jana ama juzi. Ni habari za toka zamani, watu wanakufa, wanaathiri uchumi wa taifa, maisha yanakuwa duni shauri ya ugonjwa huu.

Featured, Headline, Jamii »

[12 May 2009 | One Comment | 494 views]
Usimamizi wa  Mali-Bunifu Kimataifa (I)

Na Eliamani Laltaika
Tabia moja muhimu ya haki za mali-bunifu dunaini ni kanuni ya uhalali ndani ya mipaka au kwa kiingereza “territoriality principle”.

Featured, Headline, Jamii »

[12 May 2009 | No Comment | 398 views]
Jinsi ya kupata mwenza (7)

Na Aunt Subira.
KARIBUNI tena wasomaji wetu. Leo tunaendelea na mada yetu kama ada, wengine mtashangaa kwanini mada hii inachukua muda mrefu, ni kweli lakini hili linatokana na uzito wa suala lenyewe, na hata kama tukifika sehemu ya kumi sidhani kama tutakuwa tumefika mwisho.

Featured, Jamii »

[5 May 2009 | No Comment | 769 views]
Maumivu Ya Kiuno (2)

Na Subi Sabato
Kupunguza maumivu ya kiuno yatokanayo na misuli:
Kama nilivyoandika hapo awali ya kuwa kwa kawaida maumivu ya kiuno yanayotokana na misuli kuumia, uzembe katika matibabu husababisha maumivu yaliyoanza taratibu yakue na hatimaye kuwa makali kiasi cha kufikia hata kuhisi joto kali.

Featured, Jamii »

[5 May 2009 | No Comment | 664 views]
Jinsi ya kupata mwenza (6)

Na Subira Feruz
NIMELETEWA ujumbe huu. Aliyekileta ananiambia ni kisa cha kweli. Nimeona nikatishe mfululizo wangu wa ‘ Jinsi ya kumpata mwenza’ ili nikilete kisa hiki sebuleni nanyi mkisome.