Articles in the Habari Category
Featured, Habari, Headline »
Magid, nilisoma makala yako kwenye raia Mwema na kati ya vitu ulivyozungumzia ni ahadi za mtandao na kushuka kwa bei baada ya mkongo kuwasili. Nikuhakikishie kuwa bei zimeshuka mno kwa viwango vilivyokisiwa. Kwenye TTCL Broadband Mwaka jana kipindi kama hiki 500MB ilikuwa ikiuzwa shilingi 30,000. Sasa

