[16 Apr 2014 | Comments Off | 59 views]
Wengi wanaathirika na maji ya sumu

Chanzo cha maji Luhira ambacho wakulima wanafanya uchafuzi kwa kupulizia kemikali za sumu kwenye mashamba yao ya nyanya.
Na Albano Midelo

WATU wanaoishi katika Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wapo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa mbalimbali na hata kupoteza maisha kutokana na kutumia maji ya Mto Luhira ambao umechafuliwa kwa kemikali mbalimbali.
Luhira ni chanzo cha Mto Ruhuhu ambao unamwaga maji yake Ziwa Nyasa. Mto Luhira unaanzia kwenye Milima ya Matogoro

Read the full story »

Featured, Habari, Halmashauri, Headline, Jamii, Uchunguzi, featured image, makala »

[16 Apr 2014 | Comments Off | 59 views]
Wengi wanaathirika na maji ya sumu

Chanzo cha maji Luhira ambacho wakulima wanafanya uchafuzi kwa kupulizia kemikali za sumu kwenye mashamba yao ya nyanya.
Na Albano Midelo

WATU wanaoishi katika Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wapo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa mbalimbali na hata kupoteza maisha kutokana na kutumia maji ya Mto Luhira ambao umechafuliwa kwa kemikali mbalimbali.
Luhira ni chanzo cha Mto Ruhuhu ambao unamwaga maji yake Ziwa Nyasa. Mto Luhira unaanzia kwenye Milima ya Matogoro

Featured, Habari, Headline, Jamii, featured image, makala »

[16 Apr 2014 | Comments Off | 49 views]
Kila saa moja watu 10 wanakufa kwa Malaria

Na Albano Midelo

UGONJWA wa malaria umeuwa watu 652 katika mkoa wa Ruvuma mwaka 2011 kati ya wagonjwa zaidi ya 43,000 waliougua ugonjwa huo katika kipindi hicho.
Mratibu wa malaria mkoani Ruvuma, Kibua Kakolwa anabainisha kuwa kati ya wagonjwa

Featured, Habari, Halmashauri, Headline, Jamii, Siasa, Uchunguzi, featured image, makala »

[16 Apr 2014 | Comments Off | 48 views]
Skimu za umwagiliaji kuondoa njaa Iringa

Bwawa la Mkungugu katika Tarafa ya Isimani linalotumika kwa umwagiliaji, uvuvi na shughuli nyingine za kijamii.

Na Daniel Mbega, Iringa

CHESCO Mlomo (46), mkazi wa Kijiji cha Mkungugu katika Tarafa ya Isimani wilayani Iringa, anaamini wimbi la njaa litapungua katika familia yake na hata za wakazi wengine wa kijiji hicho.
Ukame ambao umelikumba eneo lote la Isimani kwa miaka zaidi ya 20 umesababisha mazao kushindwa kustawi vizuri hata wakati huu masika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayotokana na athari za mazingira.
Wakati wa kiangazi, ambao huwa na shida kubwa ya upatikanaji …

Featured, Habari, Headline, Uchunguzi, makala »

[16 Apr 2014 | Comments Off | 94 views]
Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru

Shaba ya bluu ambayo imegundulika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma.
Albano Midelo, Tunduru
MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu (blue copper) yamegundulika katika Kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma.
Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya Wilaya ya Tunduru kuwa ndiyo pekee nchini na Afrika Mashariki na Kati kuwa na madini ya shaba ya bluu.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho, amesema utafiti unaonyesha kuwa tarafa nzima ya Nalasi ina

Featured, Headline, Jamii, featured image, makala »

[16 Apr 2014 | Comments Off | 39 views]
Kansa inaua wanawake 250,000 kila mwaka

Na Albano Midelo

TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka nchini Tanzania akina mama zaidi ya 8,000 hufariki dunia kutokana na matatizo mbalimbali ya uzazi.
Wanawake pia wanakabiliwa na tatizo jingine la kiafya ambalo ni ugonjwa wa saratani au